1 Samueli 16:11
1 Samueli 16:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Halafu akamwambia, “Je, wanao wote wako hapa?” Yese akajibu, “Bado yuko mdogo, lakini amekwenda kuchunga kondoo.” Samueli akamwambia, “Mtume mtu amlete; sisi hatutaketi chini, mpaka atakapokuja hapa.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 161 Samueli 16:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha Samweli akamwambia Yese, Watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, Amesalia mdogo wao, na tazama, anawachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yese, Tuma watu, wamlete; kwa sababu hatutaketi hadi atakapokuja huku.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 161 Samueli 16:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha Samweli akamwambia Yese, Watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, Amesalia mdogo wao, na tazama, anawachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yese, Tuma watu, wamlete; kwa sababu hatutaketi hata atakapokuja huku.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 16