Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 16:11

1 Samweli 16:11 SRUV

Kisha Samweli akamwambia Yese, Watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, Amesalia mdogo wao, na tazama, anawachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yese, Tuma watu, wamlete; kwa sababu hatutaketi hadi atakapokuja huku.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 16:11