Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 1:8-9

1 Petro 1:8-9 BHN

Nyinyi mnampenda, ingawaje hamjamwona, na mnamwamini, ingawa hammwoni sasa. Hivyo, mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka, kwa sababu mnapokea wokovu wa roho zenu ambao ni lengo la imani yenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 1:8-9