Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 1:8-9

1 Pet 1:8-9 SUV

Naye mwampenda, ijapokuwa hamkumwona; ambaye ijapokuwa hamwoni sasa, mnamwamini; na kufurahi sana, kwa furaha isiyoneneka, yenye utukufu, katika kuupokea mwisho wa imani yenu, yaani, wokovu wa roho zenu.

Soma 1 Pet 1

Verse Image for 1 Pet 1:8-9

1 Pet 1:8-9 - Naye mwampenda, ijapokuwa hamkumwona; ambaye ijapokuwa hamwoni sasa, mnamwamini; na kufurahi sana, kwa furaha isiyoneneka, yenye utukufu, katika kuupokea mwisho wa imani yenu, yaani, wokovu wa roho zenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 1:8-9