Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohane 4:17-18

1 Yohane 4:17-18 BHN

Upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa na ujasiri siku ile ya hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya Kristo. Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohane 4:17-18