Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 4:17-18

1 Yoh 4:17-18 SUV

Katika hili pendo limekamilishwa kwetu, ili tuwe na ujasiri katika siku ya hukumu; kwa kuwa, kama yeye alivyo, ndivyo tulivyo na sisi ulimwenguni humu. Katika pendo hamna hofu; lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofu, kwa maana hofu ina adhabu; na mwenye hofu hakukamilishwa katika pendo.

Soma 1 Yoh 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yoh 4:17-18