Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 5:7

1 Wakorintho 5:7 BHN

Jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu kama mnavyopaswa kuwa; maana, Kristo, Pasaka yetu, amekwisha tolewa kuwa sadaka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 5:7