1 Wakorintho 5:7
1 Wakorintho 5:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, jisafisheni, mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya, kama vile mlivyo hamkutiwa chachu. Kwa maana Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, yaani, Kristo
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 51 Wakorintho 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Jitakaseni, mkatupe mbali chachu ya kale ili mpate kuwa donge jipya lisilotiwa chachu kama mnavyopaswa kuwa; maana, Kristo, Pasaka yetu, amekwisha tolewa kuwa sadaka.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 5