Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 15:56-57

1 Wakorintho 15:56-57 BHN

Kifo hupata sumu yake katika dhambi, nayo dhambi hupata nguvu yake katika sheria. Lakini tumshukuru Mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 15:56-57