1 Wakorintho 15:56-57
1 Wakorintho 15:56-57 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:56-57 Biblia Habari Njema (BHN)
Kifo hupata sumu yake katika dhambi, nayo dhambi hupata nguvu yake katika sheria. Lakini tumshukuru Mungu anayetupatia ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 151 Wakorintho 15:56-57 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati. Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 15