Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 11:25-26

1 Wakorintho 11:25-26 BHN

Vivyo hivyo, baada ya kula, akatwaa kikombe cha divai, akasema: “Hiki ni kikombe cha agano jipya linalothibitishwa kwa damu yangu. Fanyeni hivi, kila mnapokunywa, kwa kunikumbuka.” Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 11:25-26