Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 11:25-26

1 Kor 11:25-26 SUV

Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu. Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.

Soma 1 Kor 11