Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 11:25-26

1 Wakorintho 11:25-26 NEN

Vivyo hivyo baada ya kula, akakitwaa kikombe, akisema, “Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu. Fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu.” Maana kila mlapo mkate huu na kunywea kikombe hiki, mnatangaza mauti ya Bwana mpaka ajapo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 11:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha