Matendo ya Mitume 15:8-9
Matendo ya Mitume 15:8-9 SRB37
Naye Mungu mwenye kuitambua mioyo akawapokea wamizimu alipowapa Roho Mtakatifu, kama alivyotupa na sisi. Tena hakuna, asichowalinganisha na sisi, maana nao amewang'aza mioyo kwa vile, walivyomtegemea.