Matendo 15:8-9
Matendo 15:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Mungu anayejua mioyo ya watu, alithibitisha kwamba amewakubali kwa kuwapa nao Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi. Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani.
Shirikisha
Soma Matendo 15Matendo 15:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu, ajuaye mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vile vile kama alivyotupa sisi; wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.
Shirikisha
Soma Matendo 15