Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 15:8-9

Matendo 15:8-9 SRUV

Na Mungu, ajuaye mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vile vile kama alivyotupa sisi; wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.

Soma Matendo 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 15:8-9