Matendo ya Mitume 11:23-24
Matendo ya Mitume 11:23-24 SRB37
Naye alipofika na kuviona vipaji, Mungu alivyowagawia, akafurahi, akawahimiza wote, wakaze mioyo kushikamana na Bwana. Kwa kuwa mtu mwema aliyejaa Roho takatifu alizidi kumtegemea Mungu; kwa hiyo kikundi kizima cha watu kikapelekwa kwa Bwana.