Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 11:23-24

Mdo 11:23-24 SUV

Naye, alipokwisha kufika na kuiona neema ya Mungu akafurahi, akawasihi wote waambatane na Bwana kwa kusudi la moyo. Maana alikuwa mtu mwema amejaa Roho Mtakatifu na imani; watu wengi wakaongezeka upande wa Bwana.

Soma Mdo 11

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 11:23-24

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha