Mathayo 17:17-18
Mathayo 17:17-18 NENO
Isa akajibu, “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi hadi lini? Nitawavumilia hadi lini? Mleteni mvulana hapa kwangu.” Isa akamkemea yule pepo mchafu, akamtoka yule kijana, naye akapona tangu saa hiyo.