Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 17:17-18

Mathayo 17:17-18 NEN

Yesu akajibu, “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni mvulana hapa kwangu.” Yesu akamkemea yule pepo mchafu, akamtoka yule kijana, naye akapona saa ile ile.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 17:17-18