Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Sefania 3:16-17

Sefania 3:16-17 SRUV

Katika siku ile Yerusalemu utaambiwa, Usiogope, Ee Sayuni; mikono yako isilegee. BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba.

Soma Sefania 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Sefania 3:16-17