Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 16:19-20

Warumi 16:19-20 SRUV

Maana utii wenu umewafikia watu wote; basi nafurahi kwa ajili yenu, lakini nataka ninyi kuwa wenye hekima katika mambo mema, na wasio na hatia katika mambo mabaya. Naye Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na iwe pamoja nanyi. [Amina.]

Soma Warumi 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 16:19-20