Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 16:19-20

Warumi 16:19-20 NEN

Kila mtu amesikia juu ya utii wenu, nami nimejawa na furaha tele kwa ajili yenu. Lakini nataka mwe na hekima katika mambo mema na bila hatia katika mambo maovu. Mungu wa amani atamponda Shetani chini ya miguu yenu upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu iwe nanyi. Amen.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 16:19-20