Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 13:6-7

Warumi 13:6-7 SRUV

Kwa sababu hiyo tena mnalipa kodi; kwa kuwa wao ni wahudumu wa Mungu, wakidumu katika kazi iyo hiyo. Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.

Soma Warumi 13

Video for Warumi 13:6-7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 13:6-7