Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 3:12

Ufunuo 3:12 SRUV

Yeye ashindaye, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka humo tena kabisa, nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu, na jina la mji wa Mungu wangu, huo Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu, na jina langu mwenyewe, lile jipya.

Soma Ufunuo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 3:12