Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:20

Ufunuo 19:20 SRUV

Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao hao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wakiwa hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti

Soma Ufunuo 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 19:20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha