Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 19:20

Ufu 19:20 SUV

Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti

Soma Ufu 19

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 19:20