Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 12:10-11

Ufunuo 12:10-11 SRUV

Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.

Soma Ufunuo 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 12:10-11