Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 12:10-11

Ufu 12:10-11 SUV

Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, Sasa kumekuwa wokovu, na nguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.

Soma Ufu 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 12:10-11