Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 9:1-2

Zaburi 9:1-2 SRUV

Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.

Soma Zaburi 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 9:1-2