Zaburi 9:1-2
Zaburi 9:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote; nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu. Nitafurahi na kushangilia kwa sababu yako; nitaliimbia sifa jina lako, ewe Mungu Mkuu.
Shirikisha
Soma Zaburi 9Zaburi 9:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.
Shirikisha
Soma Zaburi 9Zaburi 9:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
Shirikisha
Soma Zaburi 9