Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 81:13-16

Zaburi 81:13-16 SRUV

Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu; Ningewadhili adui zao kwa upesi, Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu; Wamchukiao BWANA wangenyenyekea mbele zake, Na maangamizi yao yangedumu milele. Naam, ningewalisha kwa ngano iliyo bora zaidi, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.

Soma Zaburi 81