Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 81:13-16

Zab 81:13-16 SUV

Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu; Ningewadhili adui zao kwa upesi, Na juu ya watesi wao ningegeuza mkono wangu; Wamchukiao BWANA wangenyenyekea mbele zake, Bali wakati wao ungedumu milele. Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.

Soma Zab 81