Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 73:21-26

Zaburi 73:21-26 SRUV

Moyo wangu ulipoona uchungu, Viuno vyangu viliponichoma, Nilikuwa kama mjinga, sijui neno; Nilikuwa kama mnyama tu mbele zako. Walakini mimi ni pamoja nawe daima, Umenishika mkono wa kulia. Utaniongoza kwa shauri lako, Na baadaye utanikaribisha kwa utukufu. Ni nani niliye naye mbinguni, Wala duniani sina cha kupendeza ila Wewe. Mwili wangu na moyo wangu hupunguka, Bali Mungu ni mwamba wa moyo wangu Na sehemu yangu milele.

Soma Zaburi 73

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 73:21-26