Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 62:1-5

Zaburi 62:1-5 SRUV

Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa utulivu, Wokovu wangu hutoka kwake. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika. Hadi lini mtamshambulia mtu, Mpate kumwua ninyi nyote pamoja? Kama ukuta unaoinama, Kama ua ulio tayari kuanguka, Mpango wao ni kumwangusha tu mtu mwenye cheo; Huufurahia uongo. Kwa kinywa chao hubariki; Kwa moyo wao hulaani. Nafsi yangu, umngoje Mungu peke yake kwa utulivu. Maana tumaini langu hutoka kwake.

Soma Zaburi 62

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 62:1-5