Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 5:11

Zaburi 5:11 SRUV

Nao wote wanaokukimbilia watafurahi; Watapiga kelele za furaha daima. Kwa kuwa Wewe unawahifadhi, Walipendao jina lako watakufurahia.

Soma Zaburi 5

Verse Image for Zaburi 5:11

Zaburi 5:11 - Nao wote wanaokukimbilia watafurahi;
Watapiga kelele za furaha daima.
Kwa kuwa Wewe unawahifadhi,
Walipendao jina lako watakufurahia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 5:11