Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 5:11

Zaburi 5:11 BHN

Lakini wafurahi wote wanaokimbilia usalama kwako, waimbe kwa shangwe daima. Uwalinde wanaolipenda jina lako, wapate kushangilia kwa sababu yako.

Soma Zaburi 5

Verse Image for Zaburi 5:11

Zaburi 5:11 - Lakini wafurahi wote wanaokimbilia usalama kwako,
waimbe kwa shangwe daima.
Uwalinde wanaolipenda jina lako,
wapate kushangilia kwa sababu yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 5:11