Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 150:1-5

Zaburi 150:1-5 SRUV

Haleluya. Msifuni Mungu katika patakatifu pake; Msifuni katika anga la uweza wake. Msifuni kwa matendo yake makuu; Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi; Msifuni kwa matari na kucheza; Msifuni kwa zeze na filimbi; Msifuni kwa matoazi yaliayo; Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.

Soma Zaburi 150

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 150:1-5