Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 146:7-8

Zaburi 146:7-8 SRUV

Huwafanyia hukumu walioonewa, Huwapa wenye njaa chakula; BWANA hufungua waliofungwa; BWANA huwafumbua macho waliopofuka; BWANA huwainua walioinama; BWANA huwapenda wenye haki

Soma Zaburi 146