Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 139:17-18

Zaburi 139:17-18 SRUV

Mawazo yako ni mazito sana kwangu; Ee Mungu; nayo ni makuu sana. Kama ningeyahesabu ni mengi kuliko mchanga; Niamkapo ningali pamoja nawe.

Soma Zaburi 139

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 139:17-18