Zaburi 139:17-18
Zaburi 139:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mawazo yako ni mazito sana kwangu; Ee Mungu; nayo ni makuu sana. Kama ningeyahesabu ni mengi kuliko mchanga; Niamkapo ningali pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Zaburi 139Zaburi 139:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mungu, mawazo yako ni makuu mno; hayawezi kabisa kuhesabika. Ningeyahesabu yangekuwa mengi kuliko mchanga. Niamkapo, bado nipo pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Zaburi 139