Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 126:4-6

Zaburi 126:4-6 SRUV

Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini. Wapandao kwa machozi Watavuna kwa kelele za furaha. Ingawa mtu anakwenda zake akilia, Azichukuapo mbegu za kupanda. Hakika atarudi kwa kelele za furaha, Aichukuapo miganda yake.

Soma Zaburi 126