Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 126:4-6

Zaburi 126:4-6 NEN

Ee BWANA, turejeshee watu wetu waliotekwa, kama vijito katika Negebu. Wapandao kwa machozi watavuna kwa nyimbo za shangwe. Yeye azichukuaye mbegu zake kwenda kupanda, huku akilia, atarudi kwa nyimbo za shangwe, akichukua miganda ya mavuno yake.