Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 121:1-2

Zaburi 121:1-2 SRUV

Nayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.

Soma Zaburi 121

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 121:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha