Zaburi 121:1-2
Zaburi 121:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Natazama juu milimani; msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu watoka kwa Mwenyezi-Mungu, aliyeumba mbingu na dunia.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 121Zaburi 121:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Shirikisha
Soma Zaburi 121