Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 118:16-17

Zaburi 118:16-17 SRUV

Mkono wa kulia wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kulia wa BWANA hutenda makuu. Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.

Soma Zaburi 118