Zaburi 118:16-17
Zaburi 118:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mkono wa nguvu wa Mwenyezi-Mungu umeleta ushindi! Mkono wa Mwenyezi-Mungu umetenda mambo makuu!” Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Zaburi 118Zaburi 118:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkono wa kulia wa BWANA umetukuzwa; Mkono wa kulia wa BWANA hutenda makuu. Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
Shirikisha
Soma Zaburi 118