Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 1:1-2

Zaburi 1:1-2 SRUV

Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.

Soma Zaburi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 1:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha