Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 9:10-11

Mithali 9:10-11 SRUV

Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.

Soma Mithali 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 9:10-11