Methali 9:10-11
Methali 9:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni msingi wa hekima; na kumjua yule Mtakatifu ni kupata akili. Kwa msaada wangu mimi Hekima siku zako zitaongezwa; utaongezewa miaka mingi maishani mwako.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Shirikisha
Soma Methali 9Methali 9:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kumcha BWANA ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu. Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
Shirikisha
Soma Methali 9